MAGRETH MKANGA NA SIMULIZI YA KUSISIMUA NA MAISHA YAKE
MOROGORO
Na Merina Robert
Karibu katika Makala inayoangazia masuala ya wanawake na Demokrasia ambapo leo tunamwangilia mbunge mstaafu wa viti maalum kwa takribani miaka kumi na tano Bi Magreth Mkanga .
Miaka sabini na sita iliyopita katika Kijiji cha Mkuti wilayani Masasi mkoani Mtwara alizaliwa mtoto wa kike aliyepewa jina la Magreth Mkanga ambaye miezi mitatu baada ya kuzaliwa kwake baba yake Martine Mkanga alifariki dunia na mwezi mmoja baadae binti huyo aliugua ugonjwa wa polio uliopelekea kupata ulemavu wa miguu yote miwili na kushindwa kutembea.
Fatilia kisa hiki.
https://www.youtube.com/watch?v=Ok3OUThOCk0&authuser=0