Safari ya Dkt.Angeline kwenye siasa, baada ya kuacha kazi-sehemu ya pili
MWANZA
Na Judith Ferdinand
https://timesmajira.co.tz/safari-ya-dkt-angeline-kwenye-siasa-baada-ya-k...
ZIPO nyakati unahitaji kujitoa ili kupigania kile unachokipenda au kukitamani ili uache alama kwenye jamii yako, hiki ndicho kilichomtokea Mbunge wa Jimbo la Ilemela (CCM), Dk. Angeline Mabula ambaye aliacha kazi yenye mshahara mnono na kuingia kwenye nafasi ya siasa isiyo na mshahara.