DOROTH SEMU ALITHUBUTU NA AMEWEZA NINI HASA KILIMVUTIA KATIKA SIASA
MWANZA
BY Sara Onesmo
https://youtu.be/8Z3tup-njv8?si=gJnZGQWJ6tiZTCwZ
Kutana na Doroth Semu, mwanamke shupavu aliyeamua kuacha kazi serikali na kujikita katika harakati za kisisa jambo ambalo si rahisi kwa wanawake wengine. Safari ya kisiasa ya Doroth ni ya kipekee ni mmoja kati ya wanawake ambao walijitosa na kuingia katika siasa za upinzani nchini Tanzania na si chama kilichopo madarakani.