ZAMDA NA SIRI YA MAFANIKIO KATIKA SIASA AKIACHANA NA UJASILIAMALI
SHINYANGA

By Moshi Ndugulile

https://www.facebook.com/farajafmtz/videos/573165095270700/?mibextid=rS4...

Zamda Shabani ni Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga ambaye kabla ya dhamana hiyo safari yake ilianzia kwenye Uchuuzi wa kahawa vijiweni,kuuza mboga mboga na matunda na baadaye alijishughulisha na usafirishaji wa abiria kwa usafiri wa pikipiki maarufu Bodaboda.