MJUE MASHAVU JUMA BARAKBITSE DIWANI VITIMAALUM MANISPAA YA KIGOMA UJIJI
KIGOMA

By Rose Mweko

https://theprofiletv.blogspot.com/2024/11/wanawake-na-demokrasia-changam...

https://youtu.be/k6uJKAbXUs0?si=XhuKd8GyTJNToqJ0

 

UKATILI wa Kijinsia na kisaikolojia bado ni tatizo kubwa kwenye siasa kwa kuwa bado wanawake walioamua kuingia kwenye ulingo huo wanapitia udhalilishaji na shinikizo la jamii kuachana na nafasi wanazogembea kwa kuwa ni kwa ajili ya wanaume. Diwani wa Viti Maalum Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mashavu Barakabise ana simulizi ya kusisimua.Bonyeza link hapo juu kuelewa kwa kina.